Kesi ya jinai namba 10/2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane iliyotarajiwa kutolewa ushahidi wake wa upande wa utetezi leo imeshindwa kuendelea baada ya mshtakiwa namba moja kudai kuwa ana maumivu ya mguu.