Bunge limeahirisha shughuli zake kwa muda ili kujadili hoja iliyotolewa na Mbunge wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa ya wanafunzi elimu ya juu waliofaulu vizuri kukosa mkopo.