Baadhi ya watu wakiwamo wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya Mahakama Kuu Divishen ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ambayo inatarajia kutoka uwamuzi mdogo katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo Ijumaa Februari 18, 2022. Picha na Fortune Francis