Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kulia) akisalimiana na baadhi ya waumini baada ya ibada ya shukrani iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya leo Jumapili Machi 6, 2022. Picha na Tuzo Mapunda.