Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis Machi 13, 2023 alitembelea Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ambayo ni mchapishaji wa Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, kwa lengo la kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina yao.