Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira) Dk Seleman Jafo (kulia) akipata maelekezo ya kitabu kinachoifanzi kumbukumbu za magazeti kwa Mhariri MtendajI, Utawala, Uzalishaji na Matoleo Maalumu wa gazeti la Mwananchi Communication Ltd Rashidi Kejo, leo jijini Dar es Salaam. Picha na Sunday George