Mwanamuziki Lokassa ya Mbongo afariki dunia Miongoni mwa bendi ambazo amefanya nao kazi ni pamoja Tabu Ley Rochereau’s Afrisa International na baadaye akajiunga na African Stand Bendi.