ACT Wazalendo: Mapambano hayahitaji kutundika daruga Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza kuwa mapambano dhidi ya watawala si ya muda mfupi, bali ni safari ya muda mrefu inayohitaji uvumilivu na msimamo thabiti.
Doria, uhifadhi wa bahari vyachochea uzalishaji wa samaki kuongezeka Mpango wa kuhifadhi bahari na kufanya doria za mara kwa mara umetajwa kupunguza uvuvi haramu na kuongeza uzalishaji wa samaki kisiwani Zanzibar kwa kipindi cha miaka minne.
ACT Wazalendo: Mapambano hayahitaji kutundika daruga Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza kuwa mapambano dhidi ya watawala si ya muda mfupi, bali ni safari ya muda mrefu inayohitaji uvumilivu na msimamo thabiti.
Changamoto zinazoikabili kahawa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Boniphace Simbachawene ametaja changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo cha kahawa nchini, ikiwamo upotevu wa fedha za wakulima unaosababishwa na viongozi...
Baba mzazi wa Samatta afariki Dunia NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta 'Samagol' kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Pazi Samatta.
G Nako kuanzia Nako2Nako, Weusi hadi WCB Wasafi Kati ya wanamuziki Bongo wanaojua kubadilika kuendana na wakati, basi ni huyu G Nako a.k.a Warawara, The Kankara, The Finest of AR. mwamba anajua kipi mashabiki wanataka kwa wakati gani na mwisho...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
PRIME Mbinu saba za kukuza uwezo wa akili, kufikiri Kuna tabia na mazoezi yanayoweza kusaidia na kukuza uwezo wa akili, na kwamba endapo yatazingatiwa, yanaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa mtu kupata magonjwa ya akili.