Utamu wa Uwanja wa Suez ambao Simba itakipiga na Al Masry
Jumatano, Aprili 2, 2025, Simba itakuwa ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao Al Masry ya Misri kuanzia saa 1:00 usiku kwa muda wa...