Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

NEC yazifutia matokeo wilaya nne

Muktasari:

  • Wilaya hizo zitaanza upya mchakato wa uchaguzi huo 

Dar es Salaam. Mkutano Mkuu wa Halmashauri  Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (NEC), umefuta uchaguzi wa wenyeviti katika wilaya nne baada ya kubaini wagombea waliojitokeza hawakua na sifa.

Akitangaza uamuzi huo leo , Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amezitaja wilaya hizo zilizofutiwa uchaguzi kwamba ni Moshi Mjini,  Siha, Hai,  pamoja na Makete.

Amesema sababu ya kufuta matokeo hayo ni kubainika kwamba  wagombea waliojitokea hawakuwa na  sifa, pamoja na kubainika kuwepo na viashiria hatarishi kwa chama.