Mabadiliko homoni yanavyoathiri sukari kwa wanawake Kwa wanawake, mabadiliko ya homoni hutokea wakati wa mzunguko wa hedhi, ujauzito, kunyonyesha, na wakati wa kukoma hedhi. Hali hizi zinaweza kuwa na athari kubwa kwa udhibiti wa viwango vya sukari.
PRIME Watu hawa hatari kuoga maji baridi Wazee wanaweza kupatwa na shida ya kushuka kwa joto la mwili kwa urahisi zaidi, sambamba na watoto wadogo wanaoweza kuwa na ugumu wa kudhibiti joto la mwili wao kwa haraka.
PRIME Jinsi ya kukabiliana na mfadhaiko, wanawake waongoza Takwimu shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa wanawake ndio waathirika zaidi wa mkazo wa akili kuliko wanaume. Asilimia 75 hadi – 90 hufika katika huduma za afya kulalamikia mambo...
PRIME Waokota taka hatarini kupata magonjwa haya Hatari hizi zipo katika nyanja za kiafya, kimazingira, na kijamii, na pia kuna changamoto za kisheria na kijamii zinazohusiana na kazi hii.
Huu ndio umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu ya awali Wakati utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ukiendelea, wadau wa elimu wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kuhakikisha uwekezaji mkubwa unafanyika kwenye...
Utafiti: Wanawake walio kwenye ndoa waongoza kwa utoaji mimba Kumekuwa na dhana miongoni mwa wanajamii kuwa mabinti wadogo au ambao hawajaingia kwenye ndoa hujihusisha na matukio ya utoaji wa mimba zaidi kuliko wale walioko kwenye ndoa.
Asilimia 68 wanaovunjika mifupa hawafiki hospitalini Utafiti ulifanyika kwa ushirikiano na Hospitali ya Shirati KMT iliyopo mkoani Mara kwa ushirikiano wa karibu na Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Bwire Chiragi.
Sara, binti aliyepata mimba shuleni anavyofukuzia ndoto ya udaktari Akiwa tayari na mtoto, Sara Lusoko anapambana kusaka elimu kufanikisha ndoto ya kuwa daktari wa watoto.
Benki yakomalia ushiriki matukio ya mbio kuboresha afya, utalii Ili kukuza chachu ya ufanyaji mazoezi, mshikamano na uzalendo wa kitaifa Benki ya Absa Tanzania imesisitiza jamii katika ushiriki wa mbio za Absa Dar City Marathon 2025 zenye faida ikiwemo...
Sh43 milioni za AHF kuimarisha udhibiti maambukizi ya Ukimwi Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na mapambano dhidi ya Ukimwi, Healthcare Foundation (AHF), limekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh43 milioni kwa ajili ya...
Baraza la afya ya akili nchini mbioni kuundwa Serikali iko mbioni kukamilisha mchakato wa kuanzisha baraza la afya ya akili na kwa sasa wanakamilisha vitu vichache.
Elimu ya watu wazima inavyookoa mabinti wanaokataliwa shule baada ya kujifungua Dar es Salaam. Licha ya kuwapo mwongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi, wakiwamo waliopata ujauzito imebainika wengi wanajiunga na mfumo usio rasmi, ikiwamo elimu ya watu wazima. Takwimu...
Hospitali Kanda ya Mbeya yaboresha chumba cha upasuaji wa watoto Katika jitihada za kuboresha huduma bora za afya, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya imeboresha miundombinu na kufunga vifaa tiba vya kisasa kwenye chumba maalumu cha upasuaji wa watoto.
Hatari zilizopo wanaozaa pacha zaidi ya watatu Wataalamu wa afya wameeleza hatari zilizopo kutunza watoto waliozaliwa pacha zaidi ya wawili, na changamoto wanazokutana nazo tangu kugawanyika kwa yai tumboni mwa mama, wakati na baada ya kuzaliwa.
Wakuu wa shule wanavyowabania waliojifungua kurejea shule Ufuatiliaji uliofanywa na Mwananchi katika baadhi ya mikoa, umebaini wapo wanaoshindwa kurejea shuleni kutokana na vikwazo kadhaa, ikiwamo kukataliwa na wakuu wa shule.
Mambo haya kukujenga kuwa mwanafunzi bora shuleni Ili mwanafunzi aonekane kuwa anajitambua ni lazima awe na utambuzi wa kiroho (dini), kimwili, kitaaluma, kihisia na kijamii (kuijua jamii yake na kumpa kila mtu stahiki yake katika jamii.
Uchumi duni watajwa chanzo ongezeko magonjwa sugu kwa jamii Imebainika kuwa ukosefu wa kipato kwa baadhi ya wananchi ni chanzo cha ongezeko la magonjwa sugu yasiyoambukizwa, kutokana na kukosa fedha kugharamia matibabu na kuzifikia huduma kwa wakati.
Hakielimu: Elimu ipewe asilimia 15 ya bajeti kuu Wakati bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni Mei 12 na 13, 2025, Taasisi ya Hakielimu imetoa mapendekezo matano ya kuwekewa nguvu ili kuleta ufanisi...
Mambo sita kuboresha sekta ya elimu Wamesema Tanzania inahitaji mfumo wa elimu unaompa kijana uwezo wa kutumia maarifa yake kwa vitendo.
Hizi hapa faida kujifungulia kwenye maji Mwanzilishi wa huduma ya kujifungulia kwenye maji Taifa, mkunga mtaalamu Agnes Ndunguru ameeleza faida ambazo humsaidia mama anayejifungua kwenye maji pamoja na mtoto, wakati huduma hii...