Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Lipumba: Lowassa alikuwa mzigo mzito kumnadi

Muktasari:

  •  Profesa Lipumba amesema hayo leo asubuhi wakati akihojiwa na  Televisheni ya Clouds katika kipindi cha 360.

Dar es Salaam.  Profesa Ibrahim Lipumba amesema aliamua kurudi CUF  kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwapo kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa) baada ya kumtangaza Edward Lowassa kuwa mgombea urais wa chama hicho.

 Profesa Lipumba amesema hayo leo asubuhi wakati akihojiwa na  Televisheni ya Clouds katika kipindi cha 360.

 Amesema  alidhani Dk Wilbroad Slaa ndiye atakuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Ukawa na aliafiki hilo lakini akadai hakupenda Lowassa kuwania nafasi hiyo kwa sababu ni mzigo mzito kumnadi.