Dereva ajali iliyoua saba akamatwa, waliofariki watajwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Mvungi, lililopata ajali na kusababisha vifo vya watu saba na majeruhi 42.

Shambulizi la Russia laua wanne Ukraine, 16 wajeruhiwa Jeshi la Russia limetekeleza mashambulizi ya anga kwa kutumia ndege zisizo na rubani (droni) na kombola la ‘balistiki’ katika Mji wa Kryvyri nchini Ukraine na kusababisha vifo vya watu wanne...