Ndugu mpenzi wa ukurasa huu wa Mwananchi Rafiki Klabu tunapenda kukufahamisha kuwa kuanzia sasa utaweza kututumia habari njema au mbaya ambayo umepata kupitia ukurasa huu kadharika hata mikasa au hadithi ambayo imekufanya wewe kujiunga na Mwananchi Rafiki Klabu.Lengo ni kusaidiana na kubadilishana mawazo. Ila kwa kitu cha siri tuma email kwa rafikiklabu@mwananchi.co.tz ili usaidiwe.