Mtangazaji wa Clouds Gardner afariki, mastaa wamlilia Kufuatia taarifa ya kicho cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu wametuma salamu za rambirambi kwa familia yake.
PRIME Aliyetoka jela kwa kesi ya kuua, atuhumiwa kuua tena mkewe Polisi mkoani Mwanza wanamshikilia Jackson Kalamji (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili.
PRIME Adaiwa kumuua mume wa ‘mchepuko’ ili wawe huru Upande wa Jamhuri, katika kesi ya mauaji ya Tegemeo Rashid, umebainisha sababu za mauaji hayo kuwa ni ugomvi uliotokana na wivu wa kimapenzi, aliokuwa nao mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo...
PRIME Polisi wamchunguza DED Mafia aliyetenguliwa na Rais Samia Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Mtoto adaiwa kujinyonga Arusha kisa kuchelewa shule "...Kikubwa wazazi tuwe karibu na watoto wetu kujua matatizo yao. Si ajabu mtoto alikuwa na tatizo jingine, lakini kwa sababu mzazi hajamuuliza zaidi akaamua kuchukua hatua zake mwenyewe,"...
PRIME Mtazamo wa Jaji Warioba miaka 60 ijayo ya Muungano Kwa mtazamo wa Jaji Warioba, kipindi kijacho Serikali inapaswa kujikita katika kuimarisha haki za Watanzania ndani ya Muungano.
Mtangazaji wa Clouds Gardner afariki, mastaa wamlilia Kufuatia taarifa ya kicho cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu wametuma salamu za rambirambi kwa familia yake.
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Kalaba apata nafuu, aanza kuzungumza, kula ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa, Ofisa Uhusiano wa University...
Diamond, Ziiki hapatoshi, wadau washauri Hali haikuwa shwari katika kiwanda cha burudani, leo Ijumaa Aprili 19, 2024 baada ya msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuituhumu kampuni ya usambazaji muziki ya Ziiki kuzuia utolewaji...
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.