Takukuru yabaini safari hewa, udanganyifu vituo vya mafuta Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imechunguza na kukamilisha majalada 900 yakiwemo 21 yaliyohusu rushwa kubwa zilizohusisha ubadhilifu na hasara kwa Serikali.
Mmoja afariki dunia, watatu wajeruhiwa wakiiwahi Simba Kwa Mkapa Shabiki mmoja wa timu ya Simba amefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa (majina hayajapatikana), katika ajali iliyotokea leo Ijumaa Machi 29, 2024 alfajiri katika eneo la Vigwaza mkoani...
VIDEO: Mapito wanawake waliotelekezwa na waume zao Bwawa la Mtera Baadhi ya wanawake waliotelekezwa wamekuwa na uhusiano wa kimapenzi na madereva wa malori ili kujikimu na hali ya maisha
Force Account bado ni changamoto Baadhi ya miradi iliyotekelezwa chini ya mfumo wa Force account imeelezwa kuwa chini ya viwango, gharama kubwa na kutozingatia taratibu za ununuzi
Mtoto wa Rais wa zamani jela kwa ulanguzi wa dawa za kulevya Sanha Jr alikuwa kiongozi na mratibu wa ulanguzi wa dawa za kulevya aina ya heroini
Wananchi wanavyotoa kero kupitia Takukuru Rais Samia Suluhu Hassan amesema huo ni ubunifu utakaosaidia kupunguza kero za wananchi na kufanya Serikali kuwajibika ipasavyo
Waislamu wahimizwa kuzidisha wema mwezi mtukufu wa Ramadhan Watanzania wamesisitizwa kuendelea kudumisha amani nchini kwa kuwa, kunafanya uchumi kuimarika
Kampuni matatani madai ya mtalii kula hadharani Zanzibar Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Kamisheni ya Utalii Zanzibar Machi 7, 2024, ulielekeza wafanyabiashara wanaopewa leseni kuhusu masuala ya utalii kuzingatia maadili na kuheshimu tamaduni za...
PRIME Huyu ndiye Bassirou Faye aliyeishangaza dunia kutokea Senegal Kiongozi wa upinzani Senegal, mwenye nguvu zaidi, Ousmane Sonko, alitarajiwa kuwa mgombea urais mwenye nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu 2024, hata hivyo alizuiwa kugombea.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
Yanga yatuma salamu za pole kwa Simba Uongozi wa Yanga umetuma salamu za pole kwa Simba baada ya ajali iliyotokea na shabiki mmoja wa timu hiyo kufariki dunia. Alifajiri ya leo shabiki mmoja wa Simba amefariki dunia wakati gari...
Suge: Diddy yupo hatarini Mkurugenzi wa zamani wa ‘lebo’ ya Death Row Records, Suge Knight, amefunguka mengi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili mkali wa Hip-Hop Diddy kwa kueleza kuwa Combos kwa sasa yupo hatarini, huku...
Kuna la kujifunza kauli ya Ndumbaro Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amezua mjadala kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni aliposema atasikitishwa endapo ataona Watanzania wamevaa jezi za Al Ahly katika...
Kula vyakula hivi wakati wa mfungo kudhibiti unene Kufunga saumu ni moja ya nguzo tano za Uislamu. Muislamu yeyote mwenye afya njema, akili timamu anatakiwa kushiriki katika saumu kwa kujizuia kula chakula chochote katika kinywa chake, kwa muda...