Kocha Prisons: Ligi imekuwa ngumu, wachezaji wanatafuta soko
Mbeya. 'Ligi ni ngumu, wachezaji wanatafuta soko'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally akieleza msoto wa mechi tano mfululizo bila ushindi baada ya suluhu dhidi ya Kagera...