G Nako kuanzia Nako2Nako, Weusi hadi WCB Wasafi Kati ya wanamuziki Bongo wanaojua kubadilika kuendana na wakati, basi ni huyu G Nako a.k.a Warawara, The Kankara, The Finest of AR. mwamba anajua kipi mashabiki wanataka kwa wakati gani na mwisho...