Rashford apokwa jezi Man United Manchester, England. Staa wa Manchester United, Marcus Rashford amevuliwa jezi yenye namba 10 na timu yake na kupewa staa mpya Matheus Cunha.